0 Comment
Ushirikishaji wakandarasi wazawa ambao umeenda sambamba na kuwatumia vijana wa Tanzania katika kutekeleza ujenzi wa miradi ya maji umetoa fursa ya maarifa mapya na uzoefu katika suala la ujenzi wa miradi. Vibarua wanaotekeleza mradi wa maji wa miji 28 mjini Chato wamesema hayo wakiongea na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) wakati akikagua mradi... Read More