0 Comment
NA MWANDISHI WETU MSIMU wa Nne wa Kampeni ya fungua Akaunti, Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango,’ umezinduliwa Dar es Salaam leo, na kwa wiki 12 wateja wa benki hiyo watajishindia mamilioni ya pesa na bidhaa mbalimbali kila wiki, huku mshindi wa jumla akitarajiwa kujizolea Sh. Mil. 100.... Read More