0 Comment
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .TUME huru ya Taifa ya uchaguzi imekutana na wadau wa uchaguzi mkoani Arusha kwa lengo la kupeana taarifa mbalimbali za maandalizi kwa ajili ya kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari. Akizungumza mkoani Arusha na wadau hao Jaji (rufaa) Jacobs Mwambegele amesema kuwa,maandalizi hayo pamoja na mambo mengine yanajumuisha uhakiki wa... Read More










