0 Comment
Naitwa Hussein, mkazi wa Moshi Kilimanjaro, nakumbuka 2015 nilifiwa na Baba yangu, ilikuwa kwenye ajali ya gari, alifariki yeye na aliyekuwa mkewe baada ya kuachana na Mama yangu. Ilikuwa ni huzuni kwangu maana bado nilikuwa ndio nimemaliza Chuo Kikuu kwa hiyo bado nilikuwa sijaweza kuwa na maisha mazuri ya kusema naweza kujitegemea moja kwa moja.... Read More