0 Comment
**Kampuni ya GAKI Investment Yapongezwa kwa Kuongeza Tija Katika Kilimo cha Pamba** Kampuni ya GAKI Investment Ltd., inayomilikiwa na Bw. Gaspar Kileo, imepongezwa kwa uwekezaji wake madhubuti na wenye tija katika ununuzi wa zao la pamba, hususan kwenye kata za Mbutu, Kishapu, na Meatu. Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alitoa pongezi hizo alipofanya ziara... Read More