0 Comment
*Serikali haiwezi kuleta dawa feki; Serikali haiwezi kuleta mbegu feki Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameongea na Wakulima wa zao la Pamba katika Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora na kusema kuwa kilimo ni sayansi na kinahitaji tija na ubora na hiyo imekuwa dhamira ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbegu... Read More