0 Comment
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis leo Novemba 28, 2024 jijini Dodoma, akiongoza kikao na Ujumbe wa Tanzania ambao utashiriki katika Mkutano wa 16 wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame ambao unatarajiwa kufanyika Jiji la Riyadh nchini... Read More









