0 Comment
Mkazi wa Mtaa wa Nera, Nyamagana akipiga kura leo. Mkazi a Uhuru, Samiati Yahya,leo akipiga kura katika kituo cha Ghandhi Hall, Mohamed Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari bada ya kupiga kura leo. Samiati Yahya , leo akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupiga kura. Katibu wa BAKWATA Wilaya ya Nyamagana, akitoa maoni yake... Read More