0 Comment
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), alipokuwa akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi, aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kupunguza kodi ya uingizaji wa vyakula vya samaki nchini. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha) Na. Asia Singano na Peter Haule,... Read More