0 Comment
Hatimaye Filamu ya kuitangaza nchi Uchina ya “Amazing Tanzania” iliyomshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan, Dr. Hussein Mwinyi na msanii Jin Dong kutoka China, imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo Waziri wa Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amemwakilisha Rais Samia huku Serikali ya Uchina chini ya Rais Xi Jinping ikiwakilishwa na Naibu... Read More