0 Comment
Benki ya NMB imekabidhi mabati 150 na madawati 150 kwa shule za msingi Kasanga, Kisasa, na Sawala zilizopo wilayani Mufindi, mkoani Iringa. Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 23 unalenga kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha sekta ya elimu na kurejesha kwa jamii, kwa mujibu wa sera ya benki hiyo. Akizungumza wakati... Read More