0 Comment
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Abdul Mhinte akizungumza jijini Dar es Salaam, wakati akifungua mkutano wa wataalamu kutoka Sekta ya Mifugo katika Jumuiya za Afrika Mashariki (EAC) na Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa ajili ya kujadili namna ya kudhibiti ugonjwa wa miguu na midomo (FMD) unaoshambulia mifugo... Read More