0 Comment
Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Katiba na sheria Profesa Palamagamba Kabudi ametoa rai kwa wananchi nchini kujitokeza kupinga ukatili wakijinsia ili kutokomeza tatizo hilo nchini na kuwa na nchi yenye usawa katika masuala mbalimbali. Wito huo ameutoa leo Novemba 25,2024 jijini Dar es salaam wakati Akizindua rasmi siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa... Read More