0 Comment
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuendelea kuwa viongozi wa mabadiliko katika soko la ajira la Tanzania, wakienda sambamba na kasi ya dunia katika maeneo ya ujasiriamali na ubunifu. Akizungumza katika Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe,... Read More