0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua gari la Huduma Tembezi za Afya (Mobile Medical Service) la Hospitali ya Taifa Muhimbili katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo tarehe 12 Septemba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Afya... Read More