0 Comment
*Miradi ya Kilimo, Afya, Elimu, Umeme na Maji yaguswa *Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi *Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa kwa mafanikio kupitia usambazaji umeme vijijini *Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Namtumbo; Ahimiza wananchi kupiga kura Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa... Read More