0 Comment
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu wa Comoro, Mheshimiwa Bacar Mvoulana juu ya kuongeza ushirikiano katika Sekta ya Elimu. Balozi Yakubu alimueleza Waziri Mvoulana kuwa Tanzania na Comoro tayari zina ushirikiano wa muda mrefu katika Sekta ya Elimu ambapo mwaka 2008 Chuo Kikuu cha Comoro... Read More