0 Comment
EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepokea tuzo kutoka Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope, kutokana na desturi waliyojiwekea kutoa mchango wao kwa watu mbalimbali hususani jamii ya watu wenye ulemavu. Akizungumza leo Julai 03,2025 Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mkuu TBS Dkt.Ashura A Katunzi amesema shirika hilo licha ya kushughulika na... Read More