0 Comment
Na Silivia Amandius Kagera Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mheshimiwa Erasto Sima, amezindua rasmi Mradi wa Lishe Shuleni unaotekelezwa kwa ushirikiano na shirika la kimataifa la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN), ukilenga kuboresha lishe ya wanafunzi katika mikoa ya Kagera. Uzinduzi huo umefanyika Juni 23, 2025 katika Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya... Read More