0 Comment
MKURUGENZI wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala Mhandisi Advera Mwijage,akizungumza na waandishi wa habari (hayupo pichani) leo Septemba 11,2024 jijini Dodoma kuhusu kuanza utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia hususani katika taasisi zinazohudumia zaidi ya watu 100. MKURUGENZI wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala Mhandisi Advera... Read More











