0 Comment
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza wamemchagua Diwani wa Nyamagana (CCM),Bhiku Kotecha kuwa Naibu Meya wa jiji hilo kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. Uchaguzi huo umefanyika leo baada diwani huyo kumaliza muda wake,alipendekezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya mchakato ndani ya Chama kukamilika ili kuwania nafasi hiyo... Read More





