0 Comment
WAF Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (Mloganzira na Upanga) ambazo zimepunguza rufaa nje ya Nchi. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Ziara... Read More