0 Comment
NAIBU katibu Mkuu wa Sayansi na Teknolojia Prof.Daniel Mushi wakati akifungua mkutano wa mafunzo hayo. ………… Happy Lazaro, Arusha NCHI za ukanda wa Mashariki Afrika EAPP zimetakiwa kukaa chini kufikiria namna ya kuanza kutumia nishati mbadala ya umeme unaotokana na madini ya Nyuklia kuzalisha umeme wa uhakika ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi.... Read More