0 Comment
Diwani wa kata ya Kitula Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Alex Ngui,akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mahilo waliofika kuona maendeleo ya ujenzi wa Zahanati yao. Na Mwandishi Maalum,Mbinga WANANCHI wa kijiji cha Mahilo kata ya Kitula Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma,wameiomba Serikali iwasaidie kukamilisha ujenzi wa Zahanati waliyoijenga wao wenyewe ... Read More