* Awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta Maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua miundombinu ya Shule ya... Read More
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora linalotarajia kufanyika Novemba 12 hadi 14, 2024 jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). Kulia ni Mshauri mwelekezi kutoka HakiElimu, Dk. Wilberforce Meena... Read More