Mnamo 2025, Saudi Arabia itatekeleza itifaki za afya zilizoimarishwa kwa mahujaji wa Umrah, kuamuru chanjo kulinda afya ya umma na usalama kwa mamilioni ya watakaohudhuria ibada. Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Saudia imetangaza kwamba mahujaji lazima wapewe chanjo dhidi ya meninjitisi ya meningococcal, polio, homa ya manjano, COVID-19, na mafua ya msimu. Zaidi ya... Read More
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA),CPA Anthony Kasore, amesema kuwa asilimia 80 ya mafunzo yatolewayo na VETA ni ya ujuzi na kwa maana hiyo ni mojawapo ya utekelezaji wa sera mpya ya Elimu ya mwaka 2024 toleo la mwaka 2023. CPA Kasore ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mohamed Hassan Moyo, ameongoza hafla ya utoaji mikopo ya asilimia 10 inayotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri, ambapo zaidi ya shilingi milioni 800 zimetolewa kwa vikundi 60 vya wanawake, vijana na wenye ulemavu. Lengo kuu la mikopo hii ni kuwasaidia wananchi wa kundi hili kujikwamua kiuchumi na kuunga mkono... Read More
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty alisema Jumapili kwamba Misri ina mpango wa ujenzi mpya wa Gaza ambao hauhusishi kuwaondoa Wapalestina kutoka katika ardhi yao. “Tuna mpango madhubuti wa ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza ambao unahakikisha hakuna raia anayefukuzwa kutoka katika nchi yake. Maono yetu yako wazi kuhusu suala hili,” Abdelatty... Read More
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makalla amesema wakati Chama cha Mapinduzi kikiazimisha Miaka 48 tangu kiundwe kuna mafanikio mengi sana yamepatikana na lazima yasemwe watu wajue kuwa ilani imetekezwa kwa kiwango Mfano Sekta ya Miundombinu imebadilika sana leo tunayo mpaka Reli ya kisasa, Umeme sasa unapatikana wa... Read More
Uhaba mkubwa wa askari na njia za usambazaji zinazokuja chini ya mashambulio ya ndege zisizo na rubani za Urusi zinafanya mbinu kulegeza juhudi dhidi ya vikosi vya Ukraine huko Pokrovsk, ambapo hivi sasa vita vya vina karibia miaka mitatu na muda bado unakwenda. Wanajeshi wa Ukraine wanapoteza nafasi karibu na kitovu muhimu cha usambazaji silaha,... Read More
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema leo asubuhi kwamba anatazamia kuzungumza na Donald Trump baada ya kiongozi huyo wa Marekani kusema kuwa atakata ufadhili kwa Afrika Kusini. “Tunatazamia kushirikiana na utawala wa Trump kuhusu sera yetu ya mageuzi ya ardhi na masuala ya maslahi ya nchi mbili. Tuna hakika kwamba kati ya mazungumzo hayo,... Read More
Benjamin Netanyahu amesema atajadili “ushindi dhidi ya Hamas”, Iran na kupanua uhusiano wa kidiplomasia na nchi za Kiarabu katika mkutano wake na Donald Trump. Mkutano huo utakaofanyika Ikulu ya Marekani Jumanne utakuwa wa kwanza kwa Bw Trump kuwa na kiongozi wa kigeni tangu arejee afisini. Inakuja wakati wapatanishi wa Marekani na Waarabu wakianza kuratibu awamu... Read More
Mradi wa ujenzi wa uwanja wa Arusha umefikia asilimia 23 ambapo ni miezi nane tu tangu kuanza kwa ujenzi huo unaotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka miwili. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Utawala na usimamizi wa rasilimali watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo bi. Savera salvatory alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea mradi... Read More