_Asisitiza kuboresha huduma kwa Wateja na usimamizi thabiti ya huduma ya Majisafi Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Andrea Mathew (Mb) ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha huduma ya maji katika Mkoa huo. Mhe.Kundo ameeleza dhumuni ya ziara yake ni kukutana wa... Read More
Meneja Mauzo kwa wafanyabiasha wadogo wakati na wakubwa wa Airtel Money, Janeth Kwilasa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa promosheni ya Santa Mizawadi iliyechezeshwa leo Januari 07, 2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Ubunifu kutoka Airtel, Husein Simba. Na Kulia ni Muwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Elibariki Sengsenga.... Read More
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv WAFANYABIASHARA sita wa jijjni Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), wakikabiliwa na mashitaka 68 yakiwamo ya kupotosha mfumo na kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Sh bilioni 2.1.katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakama hapo na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Daisy Makakala... Read More
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa Ada Fasta ni mwendelezo wa juhudi za Benki ya CRDB kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wake ili kuwawezesha kukabiliana na changamoto za... Read More
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unatarajia kufanyika Januari 18 hadi 19 mwaka huu ukiwa na ajenda tatu ikiwemo kuziba nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa White House jijini Dodoma... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Mradi wa Hoteli wa Bawe Island by Cocoon Collection, Bawe-Zanzibar, leo tarehe 7 Januari, 2025.
Msanii wa rap kutoka Texas, 2 Low amenusurika kujijeruhi baada ya Bunduki yake iliyokua mfukoni mwake kufyatuka ghafla wakati wa mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha YouTube, One on One with Mike D ambapo Msanii huyo alikuwa akijadili safari yake ya muziki. Bunduki hiyo ilifyatuka ghafla alipokuwa akiweka mkono mfukoni hali iliyosababisha mshangao... Read More