Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka Taasisi za Umma kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma, National e-Procurement System (Nest). Read More
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Mhandisi Juma Hamsini, ametoa maelezo muhimu kwa umma kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika tarehe 27/11/2024, kwa lengo la kuhakikisha kuwa taratibu zote zinafuatwa, na Wapiga Kura pamoja na wagombea wanapata taarifa zote zinazohitajika kwa wakati. Maelekezo haya yanafafanua hatua zitakazoongoza mchakato wa uchaguzi, kuanzia... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika jukwaa la biashara kati ya Tanzania na Marekani, kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York, Marekani Septemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika meza ya mazungumzo na baadhi ya wawekezaji kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York,... Read More
Bunge la Tunisia lilipanga kupiga kura kuhusu marekebisho makubwa ya sheria ya uchaguzi siku ya Ijumaa, siku tisa kabla ya uchaguzi wa rais ambao makundi ya upinzani yanahofia kwamba yataimarisha utawala wa kimabavu wa Rais Kais Saied. Mswada huo unaiondolea Mahakama ya Utawala mamlaka yake ya kusuluhisha mizozo ya uchaguzi. Kuna uwezekano wa kupita katika... Read More