MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari alidai hayo hapo jana tarehe 23 Septemba, 2024 alipokuwa akimsomea mshtakiwa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi... Read More
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki watakao husika na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Singida Vijijini mkoani Singida na kuzungumza nao wakati wa mafunzo yao ya siku mbili yaliyoanza... Read More
Na Hamis Dambaya, NCAA Serikali imewapongeza wananchi wa tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika eneo hilo na hivyo kuendeleza falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutaka wananchi wote kuishi kwa maelewano na maridhiano. Akizungumza mara baada ya... Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa upo umuhimu wa mataifa mbalimbali duniani kuboresha na kubadilisha mifumo ya kiutawala na ugawaji bora wa rasilimali ili kuwezesha utekelezaji wa Agenda ya 2030 ya Maendeleo endelevu kwa ufanisi zaidi. Dkt. Tulia... Read More