0 Comment
Na Mwandishi Wetu, DODOMA, 12 Machi, 2025 SERIKALI imelieleza Bunge kuwa itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kuongeza idadi na tija ya utekelezaji wa miradi inayohusu hifadhi ya mazingira nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati... Read More