0 Comment
Bajeti ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2025/26 imewasilishwa rasmi bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, kwa lengo la kufanikisha utekelezaji wa shughuli za wizara hiyo pamoja na taasisi zilizo chini yake kama vile Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Mamlaka ya... Read More