0 Comment
BARABARA YA ITONI-LUSITU HAIJATELEKEZWA,RASILIMALI ZILIENDA KUSAIDIA MAENEO HATARI – MBUNGE MWANYIKA
Wakati wasiwasi ukitanda kwa wananchi wa halmashauri ya mji wa Njombe na Ludewa kutokana na mkandarasi anayejenga barabara kuu ya kuelekea wilayani Ludewa kipande cha Itoni – Lusitu kwa kiwango cha zege kusimama ujenzi kwa takribani mwaka mmoja mpaka sasa,Mbunge wa Jimbo la Njombe mjini Deodatus Mwanyika amewatoa hofu wananchi na kueleza kuwa ujenzi utaendelea... Read More