KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,Amon Mpanju amesema Serikali,kupitia wizara za kisekta kwa kushirikiana na wadau wamejikita kuhakikisha wanalenga kutatua changamoto zinazowakabili watoto wa kike nchini,ambazo zinatokana na kiwango kikubwa na mifarakano na migogoro kwa ngazi ya familia. Ameyasema hayo Jana jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ,Said Mtanda (katikati),leo akizungumza na waandishi wa habari,kuhusiana na mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mkoani humu. … Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili Oktoba 6, mwaka huu, ambapo umekuwa ukikimbizwa nchini kwa miaka 60, utapokelewa... Read More
* Awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta Maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua miundombinu ya Shule ya... Read More