Halmashauri ya Jiji la Tanga imefungua dirisha la utoaji mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani Kwa kina mama, vijana na watu wenye ulemavu Read More
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Mhandisi Juma Hamsini, ametoa maelezo muhimu kwa umma kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika tarehe 27/11/2024, kwa lengo la kuhakikisha kuwa taratibu zote zinafuatwa, na Wapiga Kura pamoja na wagombea wanapata taarifa zote zinazohitajika kwa wakati. Maelekezo haya yanafafanua hatua zitakazoongoza mchakato wa uchaguzi, kuanzia... Read More
“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe... Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa michezo utakaokuwa na vigezo vinavyokubalika na Shirikisho la Soka Duniani FIFA pamoja na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 25 Septemba 2024 Ikulu, Zanzibar alipokutana na... Read More