0 Comment
Ndugu Wananchi; Leo, tarehe 31 Disemba, tunauhitimisha mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa neema ya uhai na afya njema. Wapo wenzetu wenye changamoto za kiafya, ambao tunaendelea kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awajaalie afya njema ili warudi kwenye shughuli zao za kujenga Taifa. Kuna ndugu na jamaa zetu ambao tungetamani kuwa nao... Read More