0 Comment
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua tawi jipya kuwapa wananchi nafasi kuwa karibu na huduma ili pale wanapopata changamoto za kiafya wasichukue muda mrefu kufuata huduma zilipo. Tawi hilo lililopo katika jengo la Oyster Plaza Haile Salassie barabara ya Ali Bin Said limeanza kutoa huduma bobezi za moyo leo lengo likiwa kuwapa fursa wananchi... Read More