Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More
Na Mwandishi wetu Ngorongoro. Baadhi ya watalii waliokuwa katika safari zao za kawaida kwenye eneo la hifadhi ya Ngorongoro leo jumatano tarehe 9 Julai 2025 walijikuta katika furaha baada ya kushuhudia Mwenge wa Uhuru ukiingia wilayani Karatu kutokea wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Watalii hao walionekana wakisimamisha magari yao ili kushuhudia namna Mwenge wa Uhuru ... Read More
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar. KATIKA juhudi za kusukuma mbele mageuzi ya sheria za habari zinazotajwa kuwa kandamizi na zilizopitwa na wakati, wadau kutoka Kamati ya Kuratibu Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) leo wamekutana na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika ukumbi wa TAMWA-Z uliopo Tunguu. Mkutano huu umekuwa jukwaa la wazi la kutoa... Read More
Baadhi ya Wasichana na wanawake waliowezeshwa na shirika la CAMFRED hadi kufikia ujasiliamali. Picha ya pamoja. KATIKA jamii nyingi za Kitanzania, wanawake na wasichana wamekuwa wakikumbana na changamoto za kiuchumi, kielimu, na kijamii. Hata hivyo, kupitia uwezeshaji wa shirika la CAMFED, baadhi yao sasa wamekuwa mfano wa kuigwa kwa kuleta mabadiliko chanya si tu katika... Read More
Wataalam wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Wizara ya Uchukuzi ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi pamoja na Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa wakitembelea mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Mkoani Lindi Wataalamu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka... Read More
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini (Mb)akisalimiana na mteja alitembelea banda la wizara ya Katiba na Sheria Katika Maonesho ya 49 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea banda... Read More
Dar es Salaam Benki ya NMB imeendelea kuthibitisha uongozi wake katika masuala ya rasilimali watu baada ya kutunukiwa tuzo maalum na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuzingatia kikamilifu kanuni na uwasilishaji wa michango kwa wakati. Tuzo hiyo ilitolewa wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya WCF yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha... Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM LICHA ya sekta ya bahari kuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa dunia, bado dunia inakabiliwa na upungufu mkubwa wa mabaharia. Ameyasema hayo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Mohamed Salum, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, yanayoendelea katika... Read More
Wizara ya Katiba na Sheria imeibuka mshindi wa kwanza kati ya wizara zote zilizoshiriki katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba, yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa. Akizungumza wakati wa ziara yake kwenye maonesho hayo, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini, aliwataka... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi wa Dini kuendelea kuliombea Taifa amani na kuhubiri masuala ya amani na utulivu wa Nchi ili kuepuka madhara yatokanayo na uvunjifu wa amani hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Akizungumza leo jijini Dar es salaam latika kikao maalum na viongozi wa... Read More