Wasanii wamesisitizwa kuandaa kazi zenye kuzingatia maadili, uadirifu, uzalendo, uelimishaji na ukosoaji kwa jamii katika kazi zao za sanaa wanazozifanya Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula wakati wa kikao chake na wasanii wa wilaya ya Ilemela kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za CCM kata ya Buswelu... Read More
KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,Amon Mpanju amesema Serikali,kupitia wizara za kisekta kwa kushirikiana na wadau wamejikita kuhakikisha wanalenga kutatua changamoto zinazowakabili watoto wa kike nchini,ambazo zinatokana na kiwango kikubwa na mifarakano na migogoro kwa ngazi ya familia. Ameyasema hayo Jana jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa... Read More
Na Farida Mangube Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewataka Wataalamu wa Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kuhimiza utekelezaji wa utunzaji na uendelezaji wa misitu nchini kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadaye. Amebainisha hayo katika siku ya kufunga Maadhimisho ya Miaka 50 ya kuanzishwa kwa Kitivo cha Mafunzo... Read More
Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri pamoja na Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya ya Msingi nchini kutakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kushughulikia changamoto. Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ,Said Mtanda (katikati),leo akizungumza na waandishi wa habari,kuhusiana na mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mkoani humu. … Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili Oktoba 6, mwaka huu, ambapo umekuwa ukikimbizwa nchini kwa miaka 60, utapokelewa... Read More