Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres “kuwa mtu asiyetakikana.” Read More
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewasha umeme na kugawa mitungi ya gesi kwa akina mama wajasiliamali katika Kijiji cha Nnyanungu Wilayani Serengeti Mkoani mara Read More
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,kuzungumzia usalama wa usafiri wa majini kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Read More
Naibu Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo ameadhimisha Siku ya Wakulima wa miwa Bonde la Kilombero kwa kuwataka wakulima na wadau wa sekta ya sukari kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na ubunifu. Read More