Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 31, 2024 Read More
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Antoine Tshisekedi, aliwasili Entebbe, Uganda, Jumatano kwa ziara ya kikazi ya saa chache na mwenzake, Rais Yoweri Museveni. Read More
Serikali inafanya kila iwezavyo uhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wanapata huduma bora za afya hata pale ambapo watakuwa hawana fedha za kulipia. Read More