Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora linalotarajia kufanyika Novemba 12 hadi 14, 2024 jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). Kulia ni Mshauri mwelekezi kutoka HakiElimu, Dk. Wilberforce Meena... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika jukwaa la biashara kati ya Tanzania na Marekani, kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York, Marekani Septemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika meza ya mazungumzo na baadhi ya wawekezaji kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York,... Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Bi. Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake leo 27-9-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza... Read More
Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda, akiwa katika halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi. Read More
“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe... Read More