Mamlaka ya Dawa na Chakula Zanzibar ZFDA imefanikiwa kukamata mabegi manne yenye Dawa za Matumizi ya Binadamu ambazo zinadaiwa kua sio salama kwa matumizi ya Binadamu dawa ambazo zimeingia kupitia uwanja wa ndege wa Abeid Amaan karume Airport (AAKIA) siku ya Jana Kaimu Mkurugenzi wa ZFDA amesema dawa hizo zimeingia kupitia ndege ya Ethiopia Airline... Read More
Watu kadhaa wanaohofiwa kufariki Dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea katika Kijiji cha Mtego wa Simba kata ya Mikese Barabara ya Morogoro _Dar es salam Ajali hiyo ambayo imetokea usiku wa kuamkia Septemba 7 mwaka huu ambayo imehusisha magari matatu basi la abiria ,gari dogo na gari dogo la mziigo ambalo limebeba vinaywaji aina... Read More
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amevitaka vyombo vya usalama nchini kuwa mstari wa mbele katika kupambana na matumizi na uimgizwaji wa dawa za kulevya nchini. Mhe. Abdullah ameyasema hayo Mkoani Morogoro wakati akizindua mashindano ya Michezo ya Majeshi nchini yaliyoratibiwa na Baraza la Michezo ya Majeshi... Read More
Mtoto Mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku kadhaa amekutwa ametupwa kwenye shimo la choo katika mtaa wa Idundilanga halmashauri ya mji wa Njombe huku mama yake akiwa bado hajatambulika. Fioteus Ngilangwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo ameieleza Ayo TV kuwa alipokea taarifa ya uwepo wa mtoto huyo ndani ya shimo kwenye nyumba... Read More