0 Comment
WANANCHI HALMASHAURI JIJI LA DODOMA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na. Dennis Gondwe, DODOMA WANANCHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 27 Novemba, 2024 ili kuchagua viongozi bora. Kauli hiyo ilitolewa na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko alipokuwa akitoa Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka... Read More