0 Comment
Mchungaji wa kanisa la Enendeni church for All Nations kutoka jijini Dar es Saalam ,Mchungaji Christian Saley akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha hilo. ……. Happy Lazaro, Arusha . Wadau mbalimbali mkoani Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha la uzinduzi wa kitabu cha Ubatizo na aina zake utakaofanyika katika kanisa la Elim Pentekoste... Read More










