Tanzania imekuwa mwanachama wa Shirika la Bahari Duniani (IMO) kwa takribani miaka 50 sasa na kumekuwa na juhudi za uboreshaji wa Sera ya Taifa ya Usafiri kwa njia ya maji unaoendelea nchini na hii imekuwa ishara tosha ya dhamira ya serikali kuboresha usalama wa usafiri kwa njia ya maji. Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na... Read More
Kampuni ya TotalEnergies Marketing Ltd kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wamekabidhi madawati 130 katika shule ya Msingi Jaribuni Mpakani na Shule ya Msingi ya Kitundu za Wilayani Kibiti Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ushirikiano baina yao katika kuboresha miundombinu ya elimu nchini. Hafla ya kukabidhi madawati hayo iliongozwa na... Read More
Na. Damian Kunambi, Njombe Kamati ya Siasa Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imekagua na kuridhishwa na mwenendo wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa wito kwa watumishi na wananchi kuhakikisha kuwa wanatunza miradi mbalimbali katika maeneo yao Ili iweze kudumu Kwa muda mrefu na kuweza kuwasaidia. Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi wa mradi wa Barabara... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Jina langu ni Jose, wakati naingia Chuo Kikuu nilikutana na mtu mmoja na kuniambia kuwa kwa sasa mambo ya mabadilika sana upande wa soko la ajira duniani kote, aliniambia wahitimu ni wengi na hawana kazi. Na kweli kila nilipokuwa natazama mtaani niliona vijana wenzangu ambao wamemaliza Chuo kwa miaka mingi lakini bado hawajaweza kuajiri iwe... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa... Read More
*Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji *Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji *Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kusimamia matumizi bora maji Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya maji pamoja na kushirikiana na jamii kulinda vyanzo hivyo... Read More
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe. Silvestry Koka katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya elimu ametumia fedha za mfuko wa Jimbo kiasi cha shilingi milioni tano katika mradi wa ujenzi wa shule ya msingi shikizi ya Saini iliyopo kata... Read More