22/10/2024 0 Comment Milioni 500 zatoelewa kwa ajili ya Tamasha la 43 la Kimataifa la utamaduni.Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ziadi ya shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la 43 la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa tarehe 23 Oktoba 2024, Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Read More Burudani, Fursa, Matukio, Sanaa, Serikali, Siasa, Tanzania, Trending, Utalii Burudani, Habari, siasa, Uchumi, Utalii