0 Comment
Na,Oscar Tarimo, WMJJWM. MOROGORO Serikali imeendelea kusisitiza utekelezaji wa kutenga asilimia 30 ya zabuni za umma kwa makundi maalum ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika shughuli za kiuchumi na kuchochea maendeleo jumuishi nchini. Akizungumza leo tarehe 13 Machi 2026 Mkoani Morogoro katika ufunguzi wa warsha ya kujenga uwezo kuhusu utekelezaji na uratibu huo, Read More

