0 Comment
MENEJA wa timu ya Simba, Patrick Rweyemamu amesema hakuna sababu ya wapinzani kuwachukulia poa Wekundu wa Msimbazi licha ya kwenda Visiwani Zanzibar. Amesema kikosi chenye wachezaji pungufu, timu hiyo imejipanga kuonyesha ubora wake katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Simba kwa sasa wapo Visiwani Zanzibar tayari kwa ajili ya kushiriki michuano hiyo ya kihistoria, ambapo... Read More



