0 Comment
DAR ES SALAAM: KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Oscar Mirambo, ameihimiza Timu ya Taifa ya wanaume ya Futsal kuhakikisha inalinda ushindi na kumaliza kazi vizuri katika mchezo wa pili wa kufuzu Futsal AFCON 2026 dhidi ya Ivory Coast. Mirambo aliyasema hayo alipozungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi... Read More


