0 Comment
WINGA mpya wa Yanga, Buba Jammeh, anatarajiwa kujiunga na wachezaji wenzake nchini Morocco mara baada ya timu hiyo kuwasili kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR Rabat. Kikosi cha Yanga kinasafiri leo Jumanne, Februari 03, 2026, mchana kuelekea Morocco kwa ajili ya maandalizi ya mechi hiyo ya marudiano,... Read More


